
Rais
Mstaafu Mhe. Benjamini William Mkapa ambaye pia ni mgeni rasmi
akihutubia vijana mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya tusome
Tanzania (Let us read Tanzania) aliyoizindua leo katika viwanja vya
Makao Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya
vijana walioshiriki uzinduzi wa Kampeni ya tusome Tanzania (Let us read
Tanzania) wakifuatilia kwa makini hotuba toka kwa mgeni rasmi Mhe.
Benjamini William Mkapa (hayupo pichani) leo katika viwanja vya Makao
Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa
wadau toka timu ya Let us read Tanzania akimpa maelezo juu ya vitabu
mbalimbali viliyotungwa na waandishi mashuhuri ndani na nje ya nchi.

Rais
Mstaafu Mhe. Benjamini William Mkapa ambaye pia ni mgeni rasmi
akiwasomea hadithi mbalimbali na kuwauliza maswali mbalimbali watoto
ambao ni wanafunzi toka shule mmbalimbali leo katika viwanja vya Makao
Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam.(P.T)
No comments:
Post a Comment