Thursday, 3 September 2015

HEBU ZITAZAME PICHA ZA MASTAA WA SOKA DUNIANI ENZI ZA UTOTO WAO

  • Anthony Martial huyu bado dunia ya soka inajiuliza kwa umri wa miaka 19 aliyokuwa nao lakini kasajiwa na klabu ya Man United kwa dau la pound milioni 58 pamoja na bonus, ni kitu ambacho hakijazoeleka kwa mchezaji mwenye umri kama wake kusajiliwa kwa dau kubwa kiasi hicho.
1142796-17963199-640-360
2BE7395000000578-3219385-image-a-6_1441193314787
  • Luis Suarez ametokea katika familia ya kimasikini, kuna wakati aliwahi kukiri kuwa alikuwa akicheza mpira juani peku peku , lakini leo hii ni moja kati ya wachezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya FC Barcelona na timu yake ya taifa ya Uruguay.
luis-suarez-with-his-golden-shoe-3
article-2099525-11A7E845000005DC-68_306x423

Steven Gerrard alianza kucheza soka katika klabu ya Whiston Juniors na baadae maskauti wa Liverpool wakamuona na kumsajili katika Academy yao akiwa na umri wa miaka 9. Amewahi kufanya majaribio katika vilabu kadhaa wakati akiwa na miaka 14 ila haikuwa rahisi kufanikiwa kwa wakati huo, kwa sasa anacheza klabu ya LA Galaxy ya Marekani.1637644-34750726-1600-900
maxresdefault
241522844_1154a06718_o
  • Thiago Silva na David Luiz walianza kuingia katika headlines kwa uhodari wao katika michuano ya kombe la mabara wakiunda pamoja safu ya ulinzi imara kwa timu yao ya taifa ya Brazil . Hawa walikuwa pamoja na kuota pamoja kuwa wachezaji mahiri, sasa wanacheza pamoja katika klabu ya PSG baada ya kila mmoja kuangaika katika timu mbalimbali.
525953-ad9a1cca-c840-11e4-bdbb-25549bb81a95
David Luiz kushoto na Thiago Silva upande wa kulia
LuizSilva
43

No comments:

Post a Comment