Thursday, 19 June 2014

Wimbo wa CHEGE & TEMBA Ft. MAROMBOSO - WAUWE hii apa isikiliz


Wakata mkaa wenye roho mbaya Chege na Temba wameachia track yao mpya ambayo inaitwa WAUWE wamemshirikisha kijana mmoja kutoka mkubwa na wanawe anaitwa Maromboso, wimbo umefanywa na Producer Shirko kisha mastering imefanywa na Dr. Chali a.k.a Marco Chali, kutoka MJ Rec.

No comments:

Post a Comment