Tuesday, 24 June 2014

single mpya ya Joh Makini umeipata? inaitwa ‘najiona mimi’ ( I see me) iko hapa



IMG-20140617-WA0000 
Ni single nyingine kutoka kwa mwamba wa Kaskazini ambaye pia anawakalisha Weusi kampuni Joh Makini wimbo unaitwa Najiona mimi [I see me] umefanywa na Nah Real pamoja na Chizan Brain.
Mara ya mwisho kwa Joh Makini kutoa single yake kwenye Radio ilikua June 2013 ambayo ilikua kolabo na Fundi Samweli lakini sasa amerudi na hii.   

No comments:

Post a Comment