Wednesday, 27 November 2013

Uboreshaji wa huduma bandari ya Dar es salaam waendelea.


ThumbnailThumbnail

ThumbnailThumbnail              mradi wa kuboresha huduma kwenye bandari ya Dar es Salaam hapa nchini Tanzania unaendelea.
Chini ya mardi huo sasa shehena zitaweza kupakuliwa kwa muda mchache zaidi kwa kutumia teknolojia
.
Wenye shehena watatumia ofisi moja tu kuondoa mizigo yao na hivyo kupunguza msongamano na kuokoa muda.'
Mkuu wa kamati ya kiufundi inayoendesha mradi huo Phares Magesa anasema awamu ya kwanza tayari imeanza na majaribio yake yataanza mwezi aprili mwaka ujao.

No comments:

Post a Comment