Na hivi ndivyo ilivyo kuwa
nshau.
Pichani
kulia ni Mkurugenzi wa Redio MAMBO JAMBO fm (MJ redio) Bw JONATHAN
NJAID akifuatiwa na fundi mitambo Bw Sjaona Massawe pamoja Mhariri mkuu
Bw.deogratius Michael Lyimo. |
Wanafunzi wa Darasa la NATRON katika Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha kutoka kushoto Bi.Virginia Daniel,Bi Mwajuma Abdul,Elibariki Madih na NasraKimaro wa nyuma wakipata maelezo mafupi kabla ya kuanza kipindi. |
Mtangazaji Nickson Robert Jonathan akitoa ishara yakuashiria kipindi kimeanza rasmi. |
Bi. Nasra Kimaro (kushoto) na Bi.Merlyine Olotu wakiskiliza kwa makini mfululizo wa yatakayojiri katika kipindi hicho. |
|
Mtangazaji Gilbert Boniface akielezea waskilizaji umuhimu wakupiga simu hapo studio nakutoa maoni juu ya wageni waliokaribishwa katika kipindi hicho,pembeni ni mtangazaji Nickson Jonathan akimsiliza kwa makini. |
Bi Virginia Daniel akichangia mada juu ya umuhimu wa serikali kutumia mfumo wa VIDEO katika ufundishaji wa tamthilia kwenye Mitaala yake. |
Walionyoosha mikono juu ni Bi.Mwajuma Abdul pamoja na Bi.Virginia Daniel wakiashiria kuipinga hoja ya Bi.Merilyine Olotu, kushoto kabisa ni Bw Elibariki Madih akifuatilia kwa makini na mdahalo huo. |
Fundi mitambo wa Redio Mambo Jambo Bw.Sjaona Masawe akijaribu timetable katika moja ya kazi zake za kila siku. |
Pamoja na hayo kipindi hicho kitarushwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa tano kamili hadi kufikia muda wa saa nane.
katika uzinduzi huo wanafunzi hao wa darasa la NATRON wamepata nafasi yakuzungumzia mambo mbalimbali kama ratiba inavyoonyesha hapa chini.

Mtangazaji Nickson Robert Jonathan akipangilia miziki kabla ya kuanza kipindi rasmi. |

Blogger Emanuel Ndanshau (aliyekaa)akifuatilia kwa makini kipindi baada kuhojiwa akiwa ndiye Msaka Tonge wa siku. |
Kipindi hicho kinalenga kuibua mambo yanayotokea katika chule za Sekondari na Vyuo yenye kurekebisha na kukosoa tabia mbalimbali za wanafunzi pamoja na kubadilishana vipawa mbalimbali.
Pamoja na hayo kipindi hicho kitarushwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa tano kamili hadi kufikia muda wa saa nane.
katika uzinduzi huo wanafunzi hao wa darasa la NATRON wamepata nafasi yakuzungumzia mambo mbalimbali kama ratiba inavyoonyesha hapa chini.
No comments:
Post a Comment