Mbabe wa Tenis Roger Federer
amejiondoa kwenye Fainali ya michuano ya dunia ya ATP
ambapo alikua
anatarajiwa kuchuana na Novak Djokovic. imeelezwa kuwa chanzo cha
kujitoa ni maumivu ya mgongo aliyokua akiyapata....

Mswiss huyo alijitokeza hadharani kwenye uwanja wa 02 Arena mwenyewe na kutangaza kuwa hayuko tayari kucheza .
Federer alimshinda Stan Wawrinka kwa 4-6 7-5 7-6(8-6) siku ya jumamosi katika mchezo wa kusisimua wa nusu fainali ambao ulichezwa kwa saa mbili na dakika 48.
No comments:
Post a Comment