MORO BEST lakutoka mpwapwa kwenda dar es salaam limepata ajali katika eneo la PANDAMBILI na kuuwa watu takribani 20 na wengine kujeruhiwa.
Ajali hio imehusisha basi la Moro Best kugongana uso kwa uso na roli kubwa lililobeba mabomba. kwa mujibu wa baadhi ya vyombo vya habari vinasema majeruhi wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa DODOMA [GENERAL] na maiti zimehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Kongwa
Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali ikisuburiwa kupelekwa Hospitali.
Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki
Hivi ndivyo basi lilivyo Haribika


No comments:
Post a Comment