
Hii nimeitoka katika facebook fan page ya mh.Bernard
Kamillius MEMBE alipoandika ni jinsi gani vijana ambao ni wasanii
wanaweza kuchochea maendeleo na kulifanya taifa kuwa imara:
Juzi tulipata mwaliko kutoka kwa vijana wa Mwanza..Vijana wanaitaji kazi zao zitambulike kimataifa kama Waziri husika niliwaunga mkono, Hatuwezi kuwa taifa makini na imara kama hatuthamini vijana
No comments:
Post a Comment