Ripoti kuhusu Kima cha amani
duniani GPI kwa mwaka 2014 iliyotolewa na Taasisi ya uchumi na amani IEP
inaonyesha kuwa, Mauritania ni nchi inayoongoza kwa amani barani
Afrika.
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa, Mauritius imeshika nafasi
hiyo kwa kupata alama 1.544, ikifuatiwa na Botswana iliyopata alama
1.678, ambayo imechukua nafasi ya 36 duniani.
Ripoti hiyo imeonyesha kuwa, Chad, Burundi, na Liberia ziko
miongoni mwa nchi 10 ambazo amani yake inaweza kutoweka katika miaka
miwili ijayo.
No comments:
Post a Comment