Thursday, 20 March 2014

BUSARA ZA UTUNZI WA MASHAIRI YA AMANI TANZANIA.


Kutokana na hali inayoendelea kujitokeza kwa sasa nchini, machafuko mbalimbali ya kisisa na kidini yamekuwa yakitishia uwepo wa Amani Tanzania kama ilivyozoeleka mwanzo, hadi kufikia baadhi ya wananchi kuona si vema kuwapo tena katika nchi hii.

Wakimbizi












Mlipuko wa mabomu

                                    Wananchi    wamebaki kuhofia machafuko makubwa yanawezakujitokeza. Kwa yote hayo watunzi wa Mashairi Bwana  FARAJA MWEPEA ,FRANK HARAMBA na ELIBARIKI MADIHI hawako mbali katika kuliongelea hili suala kupitia ushairi wao, na haya ndiyo mawaidha .
  

 Hebu tuelewane hapa
Nauliza wadendwa hivi nani mwenye haki
anayefaa kupendwa sita sema mnafiki
vyombo vilivyo undwa  vinavyo tetea haki
au mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni

Maskini wanateseka haki hazionekani
wamebaki wanabweka wamejifungia ndani
wale wenyemadaraka wamewaziba midomoni
ndo tunavyojifariji kuwa hinchi hii ya amani

Amanigamba la nje lakini ndani hakuna
kwasifa nchi zanje vitambi wana vikuna
gusamadeni ya nje wanajifanya wanaguna
kwanini walio wengi hawaachii madaraka

Wimbi laumasikini bodo linaongezeka
raia wenye amani ipo siku watachoka
uchafu madarakani halafu wanauzika
hivi we unaamini bado kuna shule za mamiti

Hata mtoto mdogo humdanganyi kwa pipi
wakushindia mihogo ukamwambia mambo vivpi
Tanzania sio ndogo tunaachiwa makapi
acheni watajirike tunabaki na mashimo

Elbariki Madihi kulia (Mshairi)

 Jamani kuna baadhi yamambo yanakela sana najua watu na wananchi wana mengi yaku sema ila wanashindwa watayasemea wapi na wanao pata nafasi yakutetea wanyonge wanasakamwa kama mamwawe yanavyo sakama kuku lakini wananchi ipo siku watachoka tu big up kwenubwa na Faraja Mwepea (
CHIBA WA NGOMBELEZO KULIKO WACHILUMANGA)

No comments:

Post a Comment