BURIANI RAIS NELSON MANDELA

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ameaga dunia. Nelson Mandela alikuwa Rais wa zamani wa Afrika Kusini na ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 95
Rais Jacob Zuma asema
“Our nation has lost its greatest son,” na ndiye aliye kuwa rais wa kwanza wa taifa la afrika ya kusini.
habari na picha na chanzo chetu cha habari
No comments:
Post a Comment