Multimedia blogg ilipata nafasi ya kumuhoji moja ya maproducer Bwana Isaac Chiwanga wa kampuni hiyo baadhi ya maswali kuhusu Mabadiliko ya Technologia hasa kwa upande wa vyombo vya habari na alieleza yafuatayo"Kwanza mabadiliko ya kitekinolojia ni makubwa sana hasa hasa kwa upande wa media,lakini mabadiliko hutokea kila mahali mana maendeleo ni mabadiliko,Lakini kunachangamoto kubwa sana hasa kwa watu wanahusika na media nikiwa na maana vyombo vya Habari,mafano unakuta mwandishi wa habari hajui tofauti ya analog na digital na kwa upande wa media Je digital imeleta mabadiliko gani katika media?tunachangamoto nyingi sana hasa wanahabari wengi wa Tanzania kwa sababu mapinduzi ni makubwa ya kidigital.Digital imepunguza idadi ya kazi na kama idadi ya kazi zimepungua na ajira pia zimepungua kwahyo ni lazima wana habari tuwe multipurpose.
Sunday, 22 September 2013
MAONI KUTOKA MULTIMEDIA PRODUCTION .

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment